Sunday, September 23, 2012
Friday, September 21, 2012
SOMO WA KIGANGO CHA MBWENI MALINDI
Prayers
to St. Raphael,
the Archangel
the Archangel
Patron
of Travelers
Prayer
for Healing
Glorious Archangel St. Raphael, great prince of the heavenly court, you are illustrious for your gifts of wisdom and grace. You are a guide of those who journey by land or sea or air, consoler of the afflicted, and refuge of sinners.I beg you, assist me in all my needs and in all the sufferings of this life, as once you helped the young Tobias on his travels. Because you are the "medicine of God" I humbly pray you to heal the many infirmities of my soul and the ills that afflict my body. I especially ask of you the favor (here mention your special intention), and the great grace of purity to prepare me to be the temple of the Holy Spirit. Amen.
Litany
in Honor of St. Raphael. Click here:kusali sala na litania ya mt.raphael.
SIKUKU YA SOMO WETU:
September 29
Wednesday, September 19, 2012
MJUE MWENYE HERI ISIDORI BAKANJA
Bakanja, Isidore
c. 1885 to 1909
Catholic Church
Democratic Republic of Congo
Isidore Bakanja, who gave his life for the Christian faith, led a simple life as a Catholic layman at the time of the atrocities perpetrated by King Leopold II's regime in the Congo Free State. He was born at Bokendela on the river Congo, north of the town of Mbandaka (formerly Coquihatville). His father and mother were called Iyonzwa and Inyuka. Bakanja's own name was variously pronounced as Bakanda, Bakana, Bokando, Makanda and Makando. In his early twenties Bakanja went down river to Mbandaka seeking employment. There he became a mason and was employed by the government in the building industry. While in Mbandaka he came across Catholic missionaries of the Trappist (Cistercian) Order, was instructed by them and was baptized at St. Eugene's parish, Bolokwa-Nsimba, on May 6th, 1906. He received First Communion and Confirmation later in the same year. Bakanja lived his new faith very simply, cherishing the two external signs of the rosary and the scapular which he never failed to wear. By word and example, he attracted friends and acquaintances to the Christian faith....Click here kusoma zaidi.........
Saturday, September 15, 2012
ASANTENI SANA..............
MAPENDO SANA.........ME PIA KAMA KATIBU WA VIWAWA PAROKIA YA BOKO NAPENDA SANA KUTOA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA WALEZI PD. MAJETA, PD DISMAS, SISTER SABINA NA FRATEL PAUL,PIA KWA BARAZA LA WALEI PAROKIA YA BOKO NA BUNJU, UONGOZI WA VIWAWA PAROKIA YA BOKO,UONGOZI WA KIGANGO CHA BUNJU,MABWE PANDE,KIDIMU NA VIKAWE KWA PAMOJA SASA NI PAROKIA YA BIKIRA MARIA WA MLIMA KARMEL- BUNJU.
PIA NAWASHUKURU VIONGOZI WA KIGANGO CHA BOKO, MBWENI NA MBWENI MALINDI KWA PAMOJA SASA NI PAROKIA YA MWENYE HERI ISIDORI BAKANJA- BOKO. PAMOJA NA VIJANA WOTE WA PAROKIA YA BUNJU NA WA PAROKIA YA BOKO KWA USHIRIKI WAO KWANZIA KWENYE MAJETA CUP MPAKA KWENYE TAMASHA, TUNAWAPENDA SANA NA UPENDO UZIDI MIOYONI MWETU ILI TUWEZE KUUKUZA ZAIDI UTUME WETU WA VIWAWA.
PIA NAWASHUKURU WAZAZI NA WALEZI KWA MICHANGO YAO ILIYOFANYA SISI KUWEZA KUFANIKISHA YOTE HAYO, MUNGU AWABARIKI SANA NA AWAZIDISHIE PALE WALIPOTOA.
NA MWISHO NAWASHUKURU SANA WAKUFUNZI WOTE TULIKUWA NAO KWA KUUTOA MUDA WAO WANAKUFUNDISHA VIJANA. MUNGU AWABARIKI SANA.
MWISHO NI KWA KAMATI ZOTE ZA TAMASHA KAZI YENU IMEONEKANA NA TUNAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO ULIOTUPATIA NA KWA WALE NILIOWAKWAZA NAWAOMBA WANIWIE RADHI NA TUZIDI KWA PAMOJA KUUENDELEZA HUU UTUME WETU.
NAWAPENDA SANA

CHANGAMOTO ZA VIWAWA
CHANGAMOTO
KUBWA KWA VIWAWA.
1.
Utume Wetu
Changamoto tuliyonayo
ni kuona namna gani tunaweza kuendeleza au
kuanzisha utume wa
Viwawa katika ngazi ya Kigango, Parokia na Jimbo
hasa kwa vijana ambao
ni walengwa wakuu, hivyo kufanya vijana wengi
kujiunga na kujua
utume halisi wa Viwawa.
Utume halisi wa Viwawa
ni Tafakari ya Maisha kwa
kutumia njia ya
Kuona, Kuamua, Kutenda na Kutafakari,
hufanyika katika vikundi vya
watu wasiozidi watano
kwa kila wiki mara moja.
Kuna njia tatu za
kufanya Tafakari ya Maisha (i)Tafakari ya wazi
(ii) Tafakari ya
Injili (iii) Tafakari ya mada.
Lazima tutambue
Tafakari ya Maisha ni Utume halisi wa Viwawa Duniani
kote.Mwanzilishi wa
Viwawa Joseph kardinali Cardijn alisema pasipo
Tafakari ya Maisha
hakuna Viwawa hai
Kwa kutotumia njia ya
Tafakari ya Maisha kama alivyosema mwanzilishi
tunapoteza ladha ya
kukubalika na Vijana na kuonekana kama chama
kisicho na malengo au
kukosa mwelekeo.
Wengine wanadiliki
kutuita waimba kwaya,wacheza ngoma,wababishaji.
sisi atutambuliki kwa
shughuri zetu tu tunazofanya bali kwa mang’amuzi
ya utume wetu.Vijana
wengi wana matatizo ya Kiroho na Kimaisha
lengo la Tafakari ya
Maisha ni kutatua matatizo ya vijana kupitia njia
ya
Kuona,Kuamua,Kutenda na Kutafakari.Tafakari ya Maisha hutoa
ufumbuzi wa kina, endelevu
na uponyaji wa ndani.
2. Neno
Wafanyakazi..........click here kuzijua zaidi changamoto za vijana, sala ya viwawa na katiba ya viwawa
Sunday, September 2, 2012
SALA YA VIWAWA
SALA YA VIWAWA
Bwana Yesu nashukuru kwa siku hii ya leo.Nakukabidhi kazi za
mikono yangu,na matumaini yangu,jitihada zangu,furaha zangu na
huzuni zangu.
Nisaidie mimi na vijana wenzangu ili tuweze kufikiri kama wewe
kufanya kazi na wewe na kuishi ndani yako.
Nisaidie nikupende kwa moyo wangu wote na kukutumikia kwa nguvu
zangu zote.

YOTE MIPANGO YA MUNGU
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli- Bunju Padre Thomas Mtei akiwa na Padre Adolph Majeta aliyekuwa Paroko wa Parokia ya Boko. wakati wa sherehe za Upadrisho na Bunju kutangazwa Parokia.
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
-
Mwandishi wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati ambamo tunapata somo la kwanza anatualika kutambua kuwa Mungu haachi kutimiza ahadi yake ya ...
-
Isidore Bakanja, ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya imani ya Kikristo, Akiongozwa na maisha rahisi kama layman Katoliki wakati wa mauaj...