S0M0 LA 1
“Ee
Bwana, Mungu mkuu na
|
unayetisha,
anayeshika agano lake
|
la
|
upendo
kwao wanaompenda na kutii
|
maagizo
yake, tumetenda dhambi na
|
5
|
kufanya
mabaya. Tumekuwa waovu na
|
tumeasi,
tumegeuka mbali na maagizo yako
|
na
sheria zako. Hatukuwasikiliza
watumishi
|
wako
manabii, ambao kwa jina lako
|
walisema
na wafalme wetu, wakuu wetu,
|
baba
zetu na watu wote wa nchi.
|
Bwana,
wewe ni mwenye haki, lakini
|
siku
hii ya leo tumefunikwa na aibu,
|
wanaume
wa Yuda na watu wa Yerusalemu
|
nayo
Israeli yote, wote walio karibu na walio
|
mbali,
katika nchi zote ulikotutawanya kwa
|
sababu ya sisi kukosa uaminifu kwako. Ee
|
8
|
BWANA,
sisi na wafalme wetu, wakuu wetu
|
na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa
|
sababu
tumefanya dhambi dhidi yako.
|
9
|
BWANA
wetu ni mwenye rehema na
|
anayesamehe,
hata ingawa tumefanya uasi
|
dhidi yake,
|
10
|
hatukumtii
BWANA Mungu
|
wetu
wala kuzishika sheria alizotupa kupitia
|
INJILI YA LEO
6
|
huruma,
kama Baba yenu alivyo na huruma.
|
Kuwahukumu Wengine
|
37
|
“Msihukumu,
nanyi hamtahukumiwa.
|
Msilaumu,
nanyi hamtalaumiwa. Sameheni,
|
nanyi
mtasamehewa. Wapeni watu vitu, nanyi
|
38
|
mtapewa.
Kipimo cha kujaa na kushindiliwa na
|
kusukwasukwa
hata kumwagika, ndicho watu
|
watakachowapa
vifuani mwenu. Kwa kuwa
|
kipimo
kile kile mpimacho, ndicho
|
TUTAFAKARI PAMOJA.......