UTANGULIZI
Kwa mwaka 2013,
Vijana Parokia ya Boko tulifanikiwa kuyafanikisha matukio yote tuliyokuwa
tumejipanga.
Pamoja na ufanisi huo
yapo mengi ambayo yalishindwa kufanikiwa kwa asilimia zote na hii nikutokana na
hali mbaya ya uchumi kwa Vijana wetu, na chama chetu kwa ujumla.
Kwa Mwaka 2014,
Halmashauri ya VIWAWA Parokia imeridhia kupunguza baadhi ya matukio, ili kuweza
kuleta ufanisi zaidi.
Kutokana na
kutokuwepo kwa mashindo ya Vijana ya Dekania (dekania Cup) na ya Jimbo (Pengo Cup), Uongozi wa Parokia
umeona pia ni vyema kutoa mashindano ya Paroko Cup kwa Msimu huu.
MATUKIO YA MWAKA 2014
1.
Tutakuwa na Mafungo ya
Vijana wote wa Parokia yatakayo fanyika mwanzo wa kipindi cha kwaresima, na
Mafungo haya hatafanyikia Mlango wa Imani Bagamoyo. Lengo la mafungo haya ni
kuwafanya vijana waweze kuanza kutafakari safari ya Ukombozi wa Mwanadamu kwa
Mateso, Kifo na Ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo.
2.
Hija ya Vijana jimbo kuu la Dar es salaam itafanyikia Parokia
kwetu Juma la nne la kwaresima siku ya Jumamosi.
3.
Siku ya JUMATATU YA PASAKA
VIJANA WETU WOTE WA PAROKIA watakutana pamoja kwa ajili ya kusheherekea
Ufufuko wake Bwana, hii ikiwa ni pamoja na kushirikishana mambo mbali mbali ya
kimaisha.
4.
Mwanzo wa mwezi wa saba tutakuwa na ziara ya UINJILISHAJI JIMBO LA MBULU;
Licha ya kwamba mwaka jana tulifanya ziara katika Jimbo hili kwa kutembelea
Parokia tatu, bado changamoto za Kiimani ni kubwa sana ambapo sasa jamii ya kule
inahitaji elimu zaidi juu ya mambo ya kiimani.
Hivyo kwa mwaka huu
tunaenda na ujumbe wa IMANI MSINGI WA KANISA, na kuelimisha kwa kina zaidi juu
utume wetu,
Tunatarajia
kutembelea Jumla ya parokia nne, kwa ziara hii wenyeji wetu ni Parokia ya
Dareda, zaidi ya hayo pia tutapata nafasi ya kutembelea mbuga ya wanyama ya
Ngorongoro
5.
Tamasha la Vijana; huu ni utamaduni
wetu wa kila mwaka, tamasha la mwaka huu litafanyika mwezi wa nane na litakuwa
na semina, michezo ya ndani ambayo ni Maigizo, Ngoma, Kwaya, Nyimbo, Vichekesho
na Show mbali mbali, tamasha hili linatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku
mbili(ijumaa jioni hadi Jumapili baada ya Misa).
6.
Kongamano la Ujirani
Mwema (Parokia ya Bunju na Boko) halmashauri ya Viwawa Parokia inatarajia kuandaa kongamano la
Ujirani mwema kwa Vijana na Viongozi wa Halmashauri ya Walei wa Parokia hizi,
Kongamano hili litafanyika mwezi wa kumi na moja.
7.
Mwisho wa mwaka tunatarajia
kuwa na semina ya siku moja kwa vijana wote; Lengo ni kuwakumbusha vijana wajibu
wao katika kanisa na jamii kwa jumla.
NB: LIPA ADA YA CHAMA KWA MAENDELEO YA CHAMA CHETU, PIA
UNAWEZA KULIPIA ADA ZA USHIRIKI YA MATUKIO YOTE YA VIWAWA KWA MWAKA 2014 KATIKA
ACCOUNT YETU YA CRDB TAWI LA TEGETA.
ADA KWA MWEZI NI SHS 2000/= NA KWA MWAKA NI TSHS 24,000/=
KWA KILA KIJANA.
ADA ZA USHIRIKI WA MATUKIO YOTE YA MWAKA NI TSHS 276,000/=
ACCCOUNT NAME:VIWAWA PAROKIA YA BOKO
ACCCOUNT NO:
01524526820100
RATIBA HII YAWEZA KUBADILIKI KWA SABABU
AMBAZO ZITAKUWA NJE YA UWEZO WETU, MATUKIO HAYA YAKIGONGANA NAYA PAROKIA YAKO
ONYESHA UTII, FUATA YA PAROKIA.
TAREHE
|
TUKIO
|
WAHUSIKA
|
MAHALI
|
19/01/2014
|
MKUTANO
MKUU
|
VIONGOZI
WA VIGANGO, KANDA NA JUMUIYA
|
BOKO
|
08/03/2014
|
MAFUNGO
|
VIJANA
WOTE
|
BAGAMOYO
|
16/03/2014
|
KIKAO
CHA HALMASHAURI
|
VIONGOZI
WA VIGANGO
|
BOKO
|
29/03/2014
|
HIJA
|
VIJANA
WOTE
|
PAROKIANI-BOKO
|
5-6/04/2014
|
MAFUNGO
|
VIONGOZI
WA PAROKIA, VIGANGO NA JUMUIYA
|
CONSOLATA
– BUNJU-KIDEKANIA
|
13/04/2014
|
MISA
YA MATAWI
|
VIJANA
WOTE
|
DONBOSCO
UPANGA
|
19/04/2014
|
MATENDO
YA HURUMA
|
VIJANA
WOTE
|
KIJIJI
CHA FURAHA MBURAHATI –KIJIMBO
|
21/04/2014
|
GET
TOGETHER
|
VIJANA
WOTE
|
|
01/05/2014
|
SOMO
WA VIWAWA (MT. YOSEPH)
|
VIJANA
WOTE
|
DONBOSCO
–UPANGA-KIJIMBO
|
11/05/2014
|
KIKAO
CHA HALMASHAURI
|
VIONGOZI
WA VIGANGO
|
RAFAEL
|
08/06/2014
|
MKUTANO
MKUU
|
VIONGOZI
WA VIGANGO, KANDA NA JUMUIYA
|
BOKO
|
28-29/06/2014
|
KONGAMANO
LA VIJANA JIMBO
|
VIJANA
WOTE
|
SEKONDARI
YA LOYOLA
|
01-07/07/2014
|
ZIARA
YA UINJILISHAJI
|
VIJANA
WOTE
|
JIMBO
LA MBULU
|
20/07/2014
|
KIKAO
CHA HALMASHAURI
|
VIONGOZI
WOTE WA VIGANGO
|
MBWENI
|
15-17/08/2014
|
TAMASHA
LA VIJANA
|
VIJANA
WOTE
|
BOKO
|
23/08/2014
|
MAFUNGO
|
VIJANA WOTE
|
BAGAMOYO-KIDEKANIA
|
21/09/2014
|
KIKAO
CHA HALMASHAURI
|
VIONGOZI
WOTE WA VIGANGO
|
RAFAEL
|
01-06/10/2014
|
KONGAMANO
LA VIJANA KITAIFA
|
VIJANA
WOTE
|
JIMBO
LA NJOMBE(KITAIFA)
|
19/10/2014
|
KIKAO
CHA HALMASHAURI
|
VIONGOZI
WOTE WA VIGANGO
|
BOKO
|
15/11/2014
|
UJIRANI
MWEMA
|
VIJANA
BOKO NA BUNJU
|
BOKO
|
06/12/2014
|
SEMINA
|
VIJANA
WOTE
|
|
13/12/2014
|
SEMINA
|
VIJANA
WOTE
|
ST.
GASPER – MBEZI-KIDEKANIA
|
18/01/2015
|
MKUTANO
MKUU
|
VIONGOZI
WA PAROKIA, VIGANGO NA JUMUIYA
|
BOKO
|