Mgombea Ubunge wa CHADEMA/UKAWA Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo
Tuesday, October 27, 2015
SUGU JOSEPH MBILINYI AMERUDI TENA MJENGONI
Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyekuwa mbunge jimbo la Mbeya mjini amefanikiwa kutetea jimbo lake kwa kupata kura zaidi ya elfu 67
ZITTO KABWE AMERUDI MJENGONI
Mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametangazwa rasmi mshindi wa jimbo hilo
HIGHNESS KIWIA AMEPOTEZA JIMBO LA ILEMELA
Mgombea ubunge jimbo la ILEMELA jijini Mwanza Bi. Angelina Mabula (CCM) ameibuka mshindi kwa kupata kura 85,424 dhidi ya Highness Kiwia wa CHADEMA aliyepata kura 61679
MREMA AMEPOTEZA JIMBO LA VUNJO
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo James Mbatia ameshinda na kutangazwa kuwa mbunge kwa kura 60 Elfu 187 za kura zilizopigwa.
JIMBO LA KASULU MJINI LAARUDI CCM MACHALI CHALI
Mgombea ubunge jimbo la Kasulu mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Moses Machali amepoteza jimbo hilo baada ya mgombea wa CCM Daniel Sanze kuibuka mshindi Moses Machali ndiye aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kasulu mjini, amepata kura 22,512 na mshindi Daniel wa CCM amepata kura 25,336
Nape Mjengoni Mtama wameshampitisha
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama kupitia chama cha CCM Nape Nnauye ameibuka mshindi katika jimbo hilo.
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
-
Isidore Bakanja, ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya imani ya Kikristo, Akiongozwa na maisha rahisi kama layman Katoliki wakati wa mauaj...
-
Mwandishi wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati ambamo tunapata somo la kwanza anatualika kutambua kuwa Mungu haachi kutimiza ahadi yake ya ...