Kampuni ya Nielsen Music imetoa orodha ya album 10 zilizouza zaidi mwaka 2015 nchini Marekani.Imeanza kuangalia mauzo ya album hizo kuanzia Dec. 29, 2014 hadi Dec. 31, 2015. Hii ni orodha nzima:
1 Adele, 25 – 8,008,000
2 Taylor Swift, 1989 – 3,105,000
3 Justin Bieber, Purpose – 2,225,000
4 Ed Sheeran, X- 2,206,000
5 The Weeknd, Beauty Behind the Madness – 2,045,000
6 Drake, If You’re Reading This It’s Too Late – 1,919,000
7 Meghan Trainor, Title – 1,795,000
8 Sam Smith, In the Lonely Hour- 1,741,000
9 Sam Hunt, Montevallo – 1,378,000
10 Fetty Wap, Fetty Wap- 1,295,000
No comments:
Post a Comment