VIKAO VYA MAANDALIZI (KONGAMANO LA UJIRANI MWEMA.
Baada
ya ya kukutana na wadai na walezi wetu kwa malengo ya kuboresha
Kongamano letu, Jumapili ijayo ya tarehe 19/10/2014, tutakuwa na kikao
cha kwanza ambacho kitawahusicha wajumbe wote wa Halmashauri ya VIWAWA parokia ya Bunju na Boko, kikao hichi kitafanyikia Parokiani Bunju mara
baada ya misa ya Pili ni Muhimu ukiwa mjumbe kuhuzuria, pia Ticketi za
ushiriki zitaanza kupatikana hiyo siku tarehe 19/10/2014, kwa Wahazini
wote wa Ngazi ya Parokia, Kigango na Jumuiya kwa Tshs 18,000 tu wahi
mapema upate ticketi yako. nafasi ni kwa vijana 140 tu
No comments:
Post a Comment