 |
| vijana wa Parokia ya Bunju wakiwa na mlezi wao kipindi hicho 2012 kutoka kushoto ni Getruda, Fr, Paul Malewa, Lucy Linuc |
 |
| Vijana wa Parokia ya Boko wakiwa kijiji cha furaha mbweni waliposhiriki semina ya siku moja(2012) |
Ruben, Diana na wengine ambao kwa sasa hatujui utume wao wanafanyia wapi
 |
| Vijana wa Kigango cha Bunju(kwa sasa Parokia) wakiwa katika ibada ya Matawi 2012 Don Bosco Upanga |
 |
| Viongozi wa Kigango cha Bunju(kwa sasa Parokia)kutoka kushoto ni Lily Machota na Fredinando |
 |
| Sister mlezi wa VIWAWA Parokia ya Boko Sir. Sabina |
 |
| Aliyekuwa Padre Mlezi wa VIWAWA Parokia ya Boko PD. Dominiki Mwaluko kwa sasa ni Paroko Parokia ya Kunduchi |
 |
| vijana wakitumbuiza kwenye sherehe ya Pentekoste |