Showing posts with label Nkasi na Mtera. Show all posts
Showing posts with label Nkasi na Mtera. Show all posts

Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA JIMBO LA MIKUMI PROF JAY KATOBOA UBUNGO KUBENEA KASHINDA KESSI ALLY KATETEA NKASI

 
Mgombea Ubunge Jimbo la Mikumi (CHADEMA), Joseph Haule (Prof Jay), ameshinda Ubunge kwa jumla ya kura 32259 na kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo hilo





 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo na kumshinda Dr.Didas Masaburi wa CCM 
'




 

  

Mgombea Ubunge wa Nkasi Kaskazini (Rukwa), Ali Mohamed Kessy (CCM) amefanikiwa kutetea Ubunge wake





 
 Mgombea Ubunge jimbo la Mtera kwa tiketi ya CCM, Lusinde Livingstone Joseph alimaarufu kama Kibajaji ametagazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hilo na kutetea kiti chake

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR