Showing posts with label Joshua Nassari ashinda tena. Show all posts
Showing posts with label Joshua Nassari ashinda tena. Show all posts

Monday, October 26, 2015

ARUMERU MASHARIKI MATOKEO TAYARI. MBUNGE 1 MADIWANI CHADEMA 25 CCM 1

Mbunge mteule wa Arumeru Mashariki Bwana.Joshua Nasari ameibuka mshindi baada ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza matokeo na kuonesha kuwa ameshinda kwa asilimia 72.6% dhidi ya wapinzani wake.
Akizungumza baada ya kutangazwa mshindi Bwana.Nasari amesema kuwa ameupokea ushindi huo kwa kishindo na anawashukuru wana Arumeru kwa kumpa nafasi nyingine tena ya kuweza kuwatumiki

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR