Showing posts with label chandema washinda ubunge tunduma. Show all posts
Showing posts with label chandema washinda ubunge tunduma. Show all posts

Monday, October 26, 2015

TUNDUMA NAO WAMESHAPATA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MBUNGE WAO

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA Mwakajoka Frank wa Jimbo la Tunduma (Mbeya) ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo, hongereni sana

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR