Showing posts with label CCM wameshinda Mbarali na Chadema wameshinda Kilombero na Mlimba. Show all posts
Showing posts with label CCM wameshinda Mbarali na Chadema wameshinda Kilombero na Mlimba. Show all posts

Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA UMBUNGE MAJIMBO YA MLIMBA, KILOMBERO NA MBARALI

Peter Lijuakali (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Kilombero
Haroon Mullah Primohamed (CCM) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Mbarali.
Suzan Limbweni Kiwanga (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Mlimba.

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR