Showing posts with label Askofu Mteule wa jimbo la shinyanga. Show all posts
Showing posts with label Askofu Mteule wa jimbo la shinyanga. Show all posts

Monday, February 2, 2015

Mons. Liberatus Sangu ateuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo Katoliki la Shinyanga, Tanzania!

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Monsinyo Liberatus Sangu kutoka Jimbo Katoliki la Sumbawanga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga, Tanzania. Kabla ya uteuzi wake, Askofu mteule Sangu alikuwa ni Afisa mwandamizi katika Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu mjini Vatican.

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR