KIJANA HAI AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
- Alijue Neno la Mungu.
- Kupokea Sakramenti(Kiutubio na Ekaristi Takatifu.
- Kushika Amri za Mungu na za Kanisa.
- Kushiriki Sala, Mafungo na Hija mbali mbali.
- Kushiriki katika jumuiya ndogo ndogo, kuhudumia Kanisa na vikundi vya Sala.
- Kuhubiri habari njema.
- Kuacha Dhambi na kuwasaidia wengine
- Kutumia karama mbali mbali kwa ajili ya sifa na utukufu wa sifa kwa Mungu
- Kufanya kazi kwa bidii .
- Kukubali kuteseka kwaajili ya kutenda mema.
Be commited to God to build your future.
"focus in positive to wine"