Sunday, December 27, 2015
LIJUI KABILA LA WAKINGA NA UMAARUFU WAKE
Wakinga ni moja kati ya makabila yaliyopo mkoani Njombe. wakiishi kwenye wilaya za makete Lugha yao ni Kikinga, na asili ya lugha hii ni msitu wa Kongo.
Kwenye maendeleo Wakinga ni wachapa kazi sana. Tanzania nzima mkoloni aligundua makabila matatu ndio wachapa kazi za mikono na wenye kujituma na waaminifu kazini kuliko makabila yote. Makabila hayo ni:
1. Wabena toka Njombe 2. Wakinga toka Makete 3. Waha toka Kigoma
Wakinga, ni wafanyabiashara maarufu katika mikoa mbalimbali nchini, hasa Mbeya, Iringa, Dar es Salaam, Ruvuma, Rukwa na maeneo mengine. Lakini, wamekuwa wakishindwa kuwekeza wilayani kwao kutokana na barabara nyingi kuwa mbovu na kutopitika wakati wote.
Bonyeza hapa kusoma zaidi
UFAHAMU MKOA WA NJOMBE NA WILAYA ZAKE
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa.
MAKABILA YALIYOPO MKOA WA NJOMBE:
Wabena, Wakinga, Wapangwa, Wawanji, Wakisi na Wamanda.
MAJIMBO YA UCHAGUZI YA MKOA WA NJOMBE
WILAYA ZA MKOA WA NJOMBE
MAKABILA YALIYOPO MKOA WA NJOMBE:
Wabena, Wakinga, Wapangwa, Wawanji, Wakisi na Wamanda.
MAJIMBO YA UCHAGUZI YA MKOA WA NJOMBE
WILAYA ZA MKOA WA NJOMBE
- Wilaya ya Ludewa
- Wilaya ya Makete
- Wilaya ya Wanging'ombe
- Wilaya ya Njombe
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
-
Isidore Bakanja, ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya imani ya Kikristo, Akiongozwa na maisha rahisi kama layman Katoliki wakati wa mauaj...
-
Mwandishi wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati ambamo tunapata somo la kwanza anatualika kutambua kuwa Mungu haachi kutimiza ahadi yake ya ...