Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dr. Helen Kijo Bisimba amepata ajali ya gari leo asubuhi katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam. Gari hilo lilikuwa likiendeshwa na dereva wake ambaye naye inasemekana amejeruhiwa. Hivi sasa Mkurugenzi huyo wa LHRC anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaa.Taarifa zaidi kuwajia