JUMAMOSI TAREHE 09/03/2013
- Kutakuwa na mafungo yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Mt. Clara, yatafanyika katika kigango cha Mt. Rafael Mbweni Malindi. Mafungo haya ni kwa ajili ya Tafakari ya Kwaresima, Wote Mnakaribishwa
- Kamati tendaji ya VIWAWA Kigango cha Boko watafanya kikao saa kumi na moja jioni Kigangoni...boko.
JUMAPILI TAREHE 10/03/2013
RATIBA ZA IBADA ZA MISA TAKATIFU
KIGANGO CHA BOKO.
MISA YA KWANZA 12:30-2:00 ASUBUHI
MISA YA PILI SAA 2:00-4:00 ASUBUHI
MISA YA TATU SAA 4:00-5:30 ASUBUHI
KIGANGO CHA MBWENI
MISA YA KWANZA SAA 2:00-4:00 ASUBUHI
MISA YA PILI SAA 4:00-5:30 ASUBUHI
KIGANGO CHA MT. RAFAEL-MBWENI MALINDI
SAA 2:00-4:00 ASUBUHI.
KIKAO CHA HALMASHAURI YA VIWAWA PAROKIA
KIKAO CHA HALMASHAURI YA VIWAWA PAROKIA
Halmashauri ya VIWAWA Parokia watakuwa na Kikao mara baada ya Misa ya Pili Saa 4:00 asubuhi kikao kitafanyikia Parokiani Boko wajumbe wote mnatakiwa kufika Bila kukosa. ni siku ya Uchaguzi wa Viongozi wa VIWAWA Parokia.
Pia Vyama vingine vyote vya Kitume navyo vitafanya chaguzi zake kwa ngazi ya Parokia siku hiyo hiyo.
.....Wasilisha Mchango wako wa Hija ya Bagamoyo kwa Mhazini wa Jumuiya yako au Kigango chako Kabla ya Tarehe 09/03/2013..........