Wanavosisi watano wa shirika la masista wakarmel wamisionari wa Mt. teresia wa Mtoto Yesu, watarajia kufunga naziri za kwanza za kitawa, ambao ni
- Betrice Faustine Urio
- Dorice Kalebi Tarimo
- Emeritha Joseph Kavishe.
- Hemilete Masika Sivatungika
- Salange Kavuke Syaghuswa.
Ibada itafanyika katika Parokia ya Ekaristi Takatifu Lushoto, siku ya Ijumaa ya tarehe 01/11/2013,siku ya Sherehe ya Watakatifu wote, Na itaongozwa na Askofu wa Jimbo la Tanga: Mhashamu Askofu Anthony Banzi.
Na baada ya Ibada itafuata Tafrija fupi ya kuwapongeza katika nyumba ya wito wa kitawa ya Jumuiya ya Bikira Maria wa Mlima Karmel - lushoto KIALO,
Mungu awaongeze na Mt. Teresia wa Mtoto Yesu awe Mlinzi wako...