Showing posts with label Magufuli aukaribia uraisi wa tanzania. Show all posts
Showing posts with label Magufuli aukaribia uraisi wa tanzania. Show all posts

Thursday, October 29, 2015

JUMLA MPAKA SASA NI MAJIMBO 196/264 MAKUGUFULI 58.4% LOWASA 40.07%

 tume ya uchaguzi tayari imetangaza matokeo ya uraisi katika majimbo 196 mpaka sasa, jumla ya majimbo yaliyobaki ni 68.

Dk John Pombe anakura   6,195,227  - 58.4 %.
 Edward  Lowasa anakura        4,250,474   -  (40.07 %)

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR