Showing posts with label Dhamana na nafasi ya Baba kwenye Familia. Show all posts
Showing posts with label Dhamana na nafasi ya Baba kwenye Familia. Show all posts

Wednesday, January 28, 2015

Dhamana na nafasi ya Baba kwenye Familia

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 28 Januari 2015 ameendelea na Katekesi yake kuhusu Familia, kwa kuangalia: utu, dhamana na nafasi ya Baba wa familia, jina ambalo Wakristo wamefundishwa na Yesu mwenyewe kumwita Mwenyezi Mungu; jina lenye utajiri mkubwa wa mahusiano katika jamii.

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR