Showing posts with label UJUMBE WA KWARESIMA MWAKA HUU 2015: IMARISHENI MIOYO YENU!. Show all posts
Showing posts with label UJUMBE WA KWARESIMA MWAKA HUU 2015: IMARISHENI MIOYO YENU!. Show all posts

Wednesday, January 28, 2015

UJUMBE WA KWARESIMA MWAKA HUU 2015: IMARISHENI MIOYO YENU!

Kanisa litakianza kipindi cha Kwaresima hapo tarehe 18 Februari 2015 kwa kupakwa majivu, mwaliko wa kutubu na kumwongokea Mwenyezi Mungu. Ujumbe wa Baba Mtakatifu kwa kipindi cha Kwaresima kwa mwaka 2015 unaongozwa na kauli mbiu "Imarisheni mioyo yenu" kwa kutambua kwamba, kila mtu anapendwa na Mwenyezi Mungu na anamfahamu kila mtu kwa jina na hata pale mwanadamu anapokengeuka, Mungu bado anamtafuta.

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR