Showing posts with label uchaguzi 2015:wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam.. Show all posts
Showing posts with label uchaguzi 2015:wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam.. Show all posts

Thursday, October 29, 2015

JIMBO LA KINONDONI LAENDA CUF: UCHAGUZI MKUU 2015

Mgombea Ubunge wa CUF jimbo la Kinondoni,Said Maulid Mtulie ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.
Na kumbwaga Mgombea Idd Azzan aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM kwa kipindi cha Miaka 10.
 
Mtulia amepata kura 70,337,huku Azzan aliyekuwa antetea kiti chake kupata kura 65,964.

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR