Showing posts with label Tafakari ya Jumapili ya 4 ya Masomo ya Mwaka B tarehe 01/02/2015. Show all posts
Showing posts with label Tafakari ya Jumapili ya 4 ya Masomo ya Mwaka B tarehe 01/02/2015. Show all posts

Sunday, February 1, 2015

Tafakari ya Jumapili ya 4 ya Masomo ya Mwaka B tarehe 01/02/2015

Mwandishi wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati ambamo tunapata somo la kwanza
anatualika kutambua kuwa Mungu haachi kutimiza ahadi yake ya kale kwamba atamtuma Nabii atakayetangaza hukumu zake kwa haki, atakayesema yale ya Bwana na kama atasema kinyume atakufa. Manabii wengi walitangaza ujumbe wa Mungu lakini hasa katika zama zetu Mungu anasema nasi kwa njia ya Masiha kama ambavyo Wayahudi walielewa ujumbe huo wa Neno la Mungu.

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR