Thursday, October 29, 2015

IDADI YA WABUNGE WANAWAKE WALISHINDA KWENYE UCHAGUZI WA 2015

1.JIMBO LA URAMBO, MARGARET SIMWANZA SITTA - CCM.


2.  JIMBO LA MULEBA KUSINI, PROF. ANNA TIBAIJUKA - CCM


3.JIMBO LA ILEMALA, Bi. ANGELINA MABULA - CCM.
 

4. JIMBO LA BUNDA MJINI, ESTER BULAYA - CHADEMA
 
 5. JIMBO LA TARIME MJINI, ESTER MATIKU - CHADEMA

6.JIMBO LA KIGOMA KUSINI, HUSNA MWILIMA - CCM
 

7. JIMBO LA ILEJE, JANET MBENE - CCM
 

8. JIMBO LA KAWE,HALIMA JAMES MDEE - CHADEMA
 

JIMBO LA KINONDONI LAENDA CUF: UCHAGUZI MKUU 2015

Mgombea Ubunge wa CUF jimbo la Kinondoni,Said Maulid Mtulie ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.
Na kumbwaga Mgombea Idd Azzan aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM kwa kipindi cha Miaka 10.
 

Mtulia amepata kura 70,337,huku Azzan aliyekuwa antetea kiti chake kupata kura 65,964.

HUYU NDIYE MWANAMAMA ALIYEFANYA MAPINDUZI MBEYA. MBUNGE MTEULE WA JIMBO LA ILEJE

Mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Ileje Mbeya ,Janet Mbene ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.

JUMLA MPAKA SASA NI MAJIMBO 196/264 MAKUGUFULI 58.4% LOWASA 40.07%

 tume ya uchaguzi tayari imetangaza matokeo ya uraisi katika majimbo 196 mpaka sasa, jumla ya majimbo yaliyobaki ni 68.

Dk John Pombe anakura   6,195,227  - 58.4 %.
 Edward  Lowasa anakura        4,250,474   -  (40.07 %)

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR