Sunday, September 27, 2015

LOWASSA ALIVYOTUA HAI KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI WA JIMBO HILO

Mgombea Ubunge Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Akiwahutumia Wananchi wa Hai wakati wa Ufunguzi wa Kampeni zake
Mgombea Uraisi kwa Tiketi ya Chadema na Mwavuli wa Ukawa Edward Lowasa Akisalimiana na Mwanyekiti wake Freeman Mbowe siku ya Uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Hai  
 

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR