Mkafaida Blog
Habari mbali mbali za Kanisa, Tafiti Mbali mbali Burudani na Michezo
Showing posts with label
Wakisi na Wamanda.
.
Show all posts
Showing posts with label
Wakisi na Wamanda.
.
Show all posts
Sunday, December 27, 2015
UFAHAMU MKOA WA NJOMBE NA WILAYA ZAKE
Mkoa wa Njombe
ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa.
MAKABILA YALIYOPO MKOA WA NJOMBE:
Wabena, Wakinga, Wapangwa, Wawanji, Wakisi na Wamanda.
MAJIMBO YA UCHAGUZI YA MKOA WA NJOMBE
Njombe Kaskazini
Njombe Kusini
Makambako
Wanging'ombe
Makete
Ludewa
WILAYA ZA MKOA WA NJOMBE
Wilaya ya Ludewa
Wilaya ya Makete
Wilaya ya Wanging'ombe
Wilaya ya Njombe
RAMANI YA NJOMBE
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)
NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR
MADHARA YA KUANGALIA VIDEO ZA NGONO(PORNOGRAPH)
Madhara Yanayosababishwa na Ponografia HABARI ya kila aina kuhusu ngono inapatikana kwa urahisi kupitia televisheni, sinema, video za muzik...
UFAHAMU MKOA WA NJOMBE NA WILAYA ZAKE
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
Belgians hunt Islamic State suspect after blasts kill 30 airport
Belgian police are hunting an Islamic State suspect seen with two supposed suicide bombers shortly before they struck Brussels Airport in ...