TANGAZO LA VIWAWA KWA VIGANGO, KANDA NA JUMUIYA ZOTE
TUMSIFU
YESU KRISTO:
YAH: TAARIFA YA MABADILIKO YA TAREHE YA MKUTANO MKUU
WA VIWAWA NGAZI YA PAROKIA
Uongozi wa VIWAWA Parokia unapenda
kuwataarifu, viongozi wote wa VIWAWA ngazi ya Kigango, Kanda na Jumuiya kuwa
ule mkutano mkuu, uliokuwa ufanyike tarehe 02/06/2013, Kwa sasa utafanyika
tarehe 01/06/2013, siku
ya Jumamosi , Katika ukumbi wa Masister ,Parokiani Boko. Muda ni kuanzia saa
tatu asubuhi hadi saa kumi jioni.
Kila mjumbe anatakiwa kuchangia tshs
3500 kwa ajili ya chakula cha mchana.
Ni mkutano muhimu sana kwa maendeleo ya
utume wetu, jitahidi mfike viongozi wote wa tano kwa ngazi mliopo .
Mapendo…………………