Mkafaida Blog
Habari mbali mbali za Kanisa, Tafiti Mbali mbali Burudani na Michezo
Sunday, December 27, 2015
UFAHAMU MKOA WA NJOMBE NA WILAYA ZAKE
Mkoa wa Njombe
ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa.
MAKABILA YALIYOPO MKOA WA NJOMBE:
Wabena, Wakinga, Wapangwa, Wawanji, Wakisi na Wamanda.
MAJIMBO YA UCHAGUZI YA MKOA WA NJOMBE
Njombe Kaskazini
Njombe Kusini
Makambako
Wanging'ombe
Makete
Ludewa
WILAYA ZA MKOA WA NJOMBE
Wilaya ya Ludewa
Wilaya ya Makete
Wilaya ya Wanging'ombe
Wilaya ya Njombe
RAMANI YA NJOMBE
1 comment:
Anonymous
June 10, 2022 at 4:56 PM
0658680001
Reply
Delete
Replies
Reply
Add comment
Load more...
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR
UFAHAMU MKOA WA NJOMBE NA WILAYA ZAKE
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
HISTORIA YA UJENZI WA KANISA LA MBULU
Shujaa wetu: Franz Wesinger-Mhandisi aliyejenga kanisa Katoliki Mbulu Kanisa la Mbulu ndilo kanisa kubwa kuliko yote Tanzania na la ...
MJUE MH.ISIDORI BAKANJA
Isidore Bakanja, ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya imani ya Kikristo, Akiongozwa na maisha rahisi kama layman Katoliki wakati wa mauaj...
0658680001
ReplyDelete