Saturday, August 4, 2012

this iz it

Paroko wa Parokia ya Boko Padre Aldolph I.L. Majeta, CPPS akiwa na vikombe vya washindi wa ligi ya parokia ya boko kwa netball na football kombe hili litatolewa jumapili kwenye kilele cha Tamasha la vijana na sikuku ya somo wa parokia yetu Mwenye Heri Isidori Bakanja.

1 comment:

  1. du hata siamini mbona kikombe kizuri hivyo

    ReplyDelete

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR