Maadhimisho
ya Sinodi maalum ya Maaskofu kwa ajili ya familia ni kielelezo cha
mchakato wa Mama Kanisa kutaka kusikiliza kwa dhati kabisa furaha,
matatizo na changamoto ambazo familia zinakabiliana nazo katika
ulimwengu mamboleo. Ni maneno ya Kardinali Lorenzo Baldisseri, Katibu
mkuu wa Sinodi za Maaskofu alipokutana na kuzungumza na Wabunge kutoka
Uingereza, waliomtembelea mjini Vatican Alhamisi, tarehe 30 Oktoba 2014.
Katika mazungumzo yake, amewashirikisha wabunge hao mambo makuu
yaliyojitokeza wakati wa maadhimisho ya Sinodi maalum ya Maaskofu kwa
ajili ya familia pamoja na changamoto zilizoibuliwa na Mababa wa Sinodi.
Kadiri ya maelezo yaliyokuwa yanatolewa na baadhi ya vyombo vya habari
inaweza kudhaniwa kwamba, maadhimisho ya Sinodi, yalikuwa ni "patashika
nguo kuchanika", lakini, kimsingi maadhimisho haya yalikuwa ni
mang'amuzi makubwa kwa Mama Kanisa kutembea kwa pamoja na kusikiliza kwa
dhati changamoto zinazojitokeza katika maisha na utume wa Kanisa
kuhusiana na maisha ya ndoa na familia.
Mafanikio makubwa
yaliyojitokeza katika maadhimisho haya ni utambuzi wa umuhimu wa Sinodi
katika maisha na utume wa Kanisa, kwa kutambua kwamba, Kristo Mfufuka
amewajalia wafuasi wake zawadi ya Roho Mtakatifu, ili kuweza kushiriki
kwa ukamilifu katika maisha na utume wa Kanisa. Kanisa litaendelea
kujikita katika Mafundisho yake tanzu, Maandiko Matakatifu na Mapokeo,
pamoja na kuendelea kusoma alama za nyakati, ili kuweza kukabiliana na
changamoto za nyakati hizi.
Kardinali Baldiserri anasema, kati ya
changamoto kubwa kwa sasa ni waamini kutalikiana, mwelekeo wa ndoa za
watu wa jinsia moja na ndoa za wake wengi. Changamoto hizi zimejadiliwa
kwa kina na mapana katika maswali dodoso yaliyotumwa kwa waamini na watu
wenye mapenzi mema, jambo ambalo limewasaidia Mababa wa Sinodi kufahamu
ukweli wa maisha ya ndoa na familia katika undani wake.
Kuna
baadhi ya watu wameshutumu msimamo na ukweli wa Mafundisho ya Kanisa
kuhusu ndoa na familia na baadhi yao wamelishauri Kanisa kufanya maamuzi
magumu kwa kuzingatia changamoto za watu wa nyakati hizi. Kardinali
Baldisseri anasema, jambo la kufurahisha ni kuona kwamba, waamini
wanaifahamu Injili na kanuni maadili katika maisha ya ndoa na familia,
mambo ambayo hayawezi kuwekwa kando kwani ni sehemu ya vinasaba vya
maisha na utume wa Kanisa. Viongozi wa Kanisa wamepewa dhamana ya
kuhakikisha kwamba, wanatekeleza utume wao wa kufundisha, kuongoza na
kuwatakatifuza Watu wa Mungu kadiri ya mafundisho ya Mama Kanisa.

Mababa
wa Sinodi katika ukweli na uwazi; kwa moyo wa unyenyekevu na hekima,
wameshirikishana mambo msingi ambayo yanaweza kulisaidia Kanisa kuandaa
mikakati ya kichungaji kwa ajili ya watu wa ndoa na familia, ili Mama
Kanisa aendelee kutangaza Injili ya Familia kwa Watu wa Mataifa. Sinodi
ilipania pamoja na mambo mengine kuhakikisha kwamba, inafafanua
Mafundisho ya Kanisa kuhusu maisha ya ndoa na familia mintarafu mwelekeo
wa kimissionari na kichungaji.
Kanisa linatambua kwamba ni
chombo cha wokovu, huruma na upendo, lina dhamana ya kuwapokea na
kuwakumbatia wote, watakatifu na wadhambi wanaopaswa kutubu na
kumwongokea Mwenyezi Mungu. Mababa wa Sinodi wameshirikisha kuhusu uzuri
na utakatifu wa maisha ya ndoa na familia; utu na heshima ya maisha ya
ndoa; mambo msingi katika maisha na utume wa Kanisa na Ulimwengu katika
ujumla wake.
Dhamana ya Mama Kanisa ni kuendelea kutangaza Injili
ya Familia kwa kuzingatia: ukweli na uwazi, kwa unyenyekevu na busara,
huku akiwasindikiza wanafamilia wanaogelea katika shida na mahangaiko
mbali mbali ya maisha. Kwa kutambua haya yote, hapa Mama Kanisa anataka
kupiga hatua nyingine tena kwa kuwaalika watoto wake kutubu na
kumwongokea Mungu; daima wakijitahidi kutekeleza mapenzi ya Mungu katika
maisha yao; kwa kujenga na kuimarisha umoja na mshikamano wa Kanisa.
Kardinali
Baldisseri anasema, huu ndio ukweli wa mchakato wa maadhimisho ya
Sinodi maalum ya Maaskofu kwa ajili ya familia, kama walivyoonesha
Mababa wa Sinodi na Baba Mtakatifu Francisko akaweka mkazo wa pekee kama
mhimili wa umoja na mshikamano wa Kanisa, changamoto kwa waamini
kukumbatia kweli za Kiinjili.
Viongozi wa Kanisa wataendelea
kuwaganga na kuwaponya waamini wanaokabiliana na madonda makubwa katika
maisha ya ndoa na familia, kwa kutumia kweli za Kiinjili na Huruma
inayobubujika kutoka kwa Kristo na Kanisa lake. Mada zilizojadiliwa na
Mababa wa Sinodi zilikuwa zinagusa maisha ya watu wengi ndiyo maana
vyombo vya habari vilikuwa vinafuatilia kwa makini mchakato wa
maadhimisho ya Sinodi.
Mababa wa Sinodi wamejitahidi kujikita
katika mambo msingi ya maisha ya ndoa na familia; kanuni maadili, utu na
heshima ya binadamu; mambo msingi ambayo yanapaswa kutolewa ushuhuda na
Wakatoliki katika hija ya maisha yao ya kila siku!Mababa

Wakatoliki katika hija ya maisha yao ya kila siku!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
-
Mwandishi wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati ambamo tunapata somo la kwanza anatualika kutambua kuwa Mungu haachi kutimiza ahadi yake ya ...
-
Isidore Bakanja, ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya imani ya Kikristo, Akiongozwa na maisha rahisi kama layman Katoliki wakati wa mauaj...
No comments:
Post a Comment