Thursday, October 29, 2015

JIMBO LA KINONDONI LAENDA CUF: UCHAGUZI MKUU 2015

Mgombea Ubunge wa CUF jimbo la Kinondoni,Said Maulid Mtulie ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.
Na kumbwaga Mgombea Idd Azzan aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CCM kwa kipindi cha Miaka 10.
 

Mtulia amepata kura 70,337,huku Azzan aliyekuwa antetea kiti chake kupata kura 65,964.

No comments:

Post a Comment

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR