Mgombea Ubunge Jimbo la Mikumi (CHADEMA), Joseph Haule (Prof Jay), ameshinda Ubunge kwa jumla ya kura 32259 na kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo hilo

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo na kumshinda Dr.Didas Masaburi wa CCM
'

Mgombea Ubunge wa Nkasi Kaskazini (Rukwa), Ali Mohamed Kessy (CCM) amefanikiwa kutetea Ubunge wake

Mgombea Ubunge jimbo la Mtera kwa tiketi ya CCM, Lusinde Livingstone Joseph alimaarufu kama Kibajaji ametagazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hilo na kutetea kiti chake
No comments:
Post a Comment