Sunday, December 27, 2015

LIJUI KABILA LA WAKINGA NA UMAARUFU WAKE


Wakinga ni moja kati ya makabila yaliyopo mkoani Njombe. wakiishi kwenye wilaya za makete Lugha yao ni Kikinga, na asili ya lugha hii ni msitu wa Kongo.

Kwenye maendeleo Wakinga ni wachapa kazi sana. Tanzania nzima mkoloni aligundua makabila matatu ndio wachapa kazi za mikono na wenye kujituma na waaminifu kazini kuliko makabila yote. Makabila hayo ni:
1. Wabena toka Njombe 2. Wakinga toka Makete 3. Waha toka Kigoma

Wakinga, ni wafanyabiashara maarufu katika mikoa mbalimbali nchini, hasa Mbeya, Iringa, Dar es Salaam, Ruvuma, Rukwa na maeneo mengine. Lakini, wamekuwa wakishindwa kuwekeza wilayani kwao kutokana na barabara nyingi kuwa mbovu na kutopitika wakati wote.

Bonyeza hapa kusoma zaidi


No comments:

Post a Comment

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR