Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA UBUNGE SINGIDA MASHARIKI TUNDU LISSU AREJEA MJENGONI

Mgombea Ubunge wa jimbo la Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Antiphas Mughwai Lissu ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo hongera sana, maneno yalikuwa mengi sana 

MATOKEO YA URAISI YA MAJIMBO 43 YALIYOTANGAZWA NA TUME YA UCHANGUZI



1  Matokeo ya Urais,Magomeni(Zanzibar) Kura: 9,772
John Pombe Magufuli (CCM):5,716
Edward Lowassa (Chadema):3,711

 2. Matokeo ya Urais, Jimbo la Mafia Kura: 21,507
John Pombe Magufuli (CCM):11,153
Edward Lowassa (Chadema): 9,363

3. Matokeo ya Urais, Jimbo la Mkuranga Kura: 84483
John Pombe Magufuli (CCM):45710
Edward Lowassa (Chadema):36478

4.  Matokeo ya Urais, Mwanakwerekwe Kura: 9,216
John Pombe Magufuli (CCM): 4,206
Edward Lowassa (Chadema):4,606

5. Matokeo ya Urais, Kibaha Vijijini Kura:33,228
John Pombe Magufuli (CCM):20,805
Edward Lowassa (Chadema):11,344

6. Matokeo ya Urais, Biharamulo Kura: 74,756
John Pombe Magufuli (CCM): 44,943
Edward Lowassa (Chadema): 28,576

7. Matokeo ya Urais, Arusha Mjini Kura: 221,350
John Pombe Magufuli (CCM):65,107
Edward Lowassa (Chadema):150,786

8. Matokeo ya Urais, Nkasi Kaskazini Kura:47,400
John Pombe Magufuli (CCM): 25,837
Edward Lowassa (Chadema): 19,891

9.  Matokeo ya Urais,Jimbo la Tunguu Kura: 11,934
John Pombe Magufuli (CCM): 8,519
Edward Lowassa (Chadema):2,923

10. Matokeo ya Urais, Nkasi Kusini Kura: 36,353
 John Pombe Magufuli (CCM): 21,572
Edward Lowassa (Chadema): 13,550

11. Matokeo ya Urais,Jimbo la Mtama Kura: 51,903
John Pombe Magufuli (CCM): 29,625
Edward Lowassa (Chadema): 20,841

 12. Matokeo ya Urais,Jimbo la Chakechake Kura: 6,797
John Pombe Magufuli (CCM): 1,253
Edward Lowassa (Chadema):5,209

13. Matokeo ya Urais,Jimbo la Chwaka Kura: 8,777
John Pombe Magufuli (CCM): 6,537
Edward Lowassa (Chadema): 1,864

14. Matokeo ya Urais,Jimbo la Nungwi Kura: 9,729
John Pombe Magufuli (CCM): 4,135
Edward Lowassa (Chadema): 4,854

15. Matokeo ya Urais,Jimbo la Nkenge Kura: 70,891
John Pombe Magufuli (CCM): 42,568
Edward Lowassa (Chadema): 25,840

16. Matokeo ya Urais,Jimbo la Amani Kura: 7,809
John Pombe Magufuli (CCM): 4,322
Edward Lowassa (Chadema):3,157

17. Matokeo ya Urais,Jimbo la Bumbwini Kura: 5,766
John Pombe Magufuli (CCM): 2,503
Edward Lowassa (Chadema): 2,822
18. Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais,Jimbo la Uzini Kura: 8,777
John Pombe Magufuli (CCM): 6,537
Edward Lowassa (Chadema): 1,864

 19. Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais,Jimbo la Mwera Kura: 12,963
John Pombe Magufuli (CCM): 6,430
Edward Lowassa (Chadema): 5,865

20. Matokeo ya Urais,Jimbo la Mchinga Kura: 27,434
John Pombe Magufuli (CCM): 13,948
Edward Lowassa (Chadema):12,936

21. Matokeo ya Urais, Mpanda Vijijini Kura: 52,529
John Pombe Magufuli (CCM): 37321
Edward Lowassa (Chadema): 12,791

22. Matokeo ya Urais,Jimbo la Mkwajuni Kura: 10,253
John Pombe Magufuli (CCM): 6,317
Edward Lowassa (Chadema): 3,669

23. Matokeo ya Urais, Kaskazini Unguja Kura: 6,994
John Pombe Magufuli (CCM): 5,592
Edward Lowassa (Chadema): 1,019

24. Matokeo ya Urais Jimbo la Jang'ombe Kura:9,623
John Pombe Magufuli (CCM): 6,567
Edward Lowassa (Chadema): 2,839

25. Matokeo ya Urais, Muhambwe Kura: 64,820
John Pombe Magufuli (CCM): 37,746
Edward Lowassa (Chadema): 22,804

26. Matokeo ya Urais Jimbo la Malindi Kura:8,585
John Pombe Magufuli (CCM): 2,581
Edward Lowassa (Chadema): 5,662

27. Matokeo ya Urais, Tabora Kaskazini Kura: 41,330
John Pombe Magufuli (CCM):38,050
Edward Lowassa (Chadema):12,410

28. Matokeo ya Urais Jimbo la Siha Kura: 6,390
John Pombe Magufuli (CCM):681
Edward Lowassa (Chadema): 5,251

29. Matokeo ya Urais Jimbo la Ziwani Kura: 7,051
John Pombe Magufuli (CCM): 592
Edward Lowassa (Chadema): 6,067

30. Matokeo ya Urais Jimbo la Wawi Kura:7351 John
Pombe Magufuli (CCM):1,748
Edward Lowassa (Chadema): 5,216

31.  Matokeo ya Urais Jimbo la Ulanga Kura:54,987
John Pombe Magufuli (CCM): 32,297
Edward Lowassa (Chadema): 20,489

32.  Matokeo ya Urais Jimbo la Igalula Kura:38,063
John Pombe Magufuli (CCM): 28,747
Edward Lowassa (Chadema): 8,593
33.  Matokeo ya Urais Jimbo la Tumbatu Kura:10046
John Pombe Magufuli (CCM):5,720
Edward Lowassa (Chadema): 3,967

38. Matokeo ya Urais Jimbo la Tandahimba Kura:101,289
John Pombe Magufuli (CCM):49098
Edward Lowassa (Chadema):46288

39. Matokeo ya Urais Jimbo la Solwa Kura: 94,552
John Pombe Magufuli (CCM): 66,069
Edward Lowassa (Chadema): 23,510
40. Matokeo ya Urais Jimbo la Siha Kura:41,330 
John Pombe Magufuli (CCM):18,252
Edward Lowassa (Chadema): 22,572

41. Matokeo ya Urais Jimbo la Ruangwa Kura: 62,172
John pombe Magufuli (CCM):34,516
Edward Lowassa (Chadema): 26,827

42. Matokeo ya Urais Jimbo la Newala Vijini Kura:44815
John Pombe Magufuli (CCM):29799
Edward Lowassa (Chadema):13958

43. Matokeo ya Urais Jimbo la Newala Mjini Kura:38921
John Pombe Magufuli (CCM):21269
Edward Lowassa (Chadema):16980

MATOKEO YA JIMBO LA MIKUMI PROF JAY KATOBOA UBUNGO KUBENEA KASHINDA KESSI ALLY KATETEA NKASI

 
Mgombea Ubunge Jimbo la Mikumi (CHADEMA), Joseph Haule (Prof Jay), ameshinda Ubunge kwa jumla ya kura 32259 na kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo hilo





 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo na kumshinda Dr.Didas Masaburi wa CCM 
'




 

  

Mgombea Ubunge wa Nkasi Kaskazini (Rukwa), Ali Mohamed Kessy (CCM) amefanikiwa kutetea Ubunge wake





 
 Mgombea Ubunge jimbo la Mtera kwa tiketi ya CCM, Lusinde Livingstone Joseph alimaarufu kama Kibajaji ametagazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hilo na kutetea kiti chake

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS MAJIMBO YA MONDULI, MOMBO, MWANGA, MPENDAE NA NAMTUMBO

 Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Monduli Kura:61,296
John Pombe Magufuli (CCM): 11,355
Edward Lowassa (Chadema): 49,675

 Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Momba Kura: 55,338
John Pombe Magufuli (CCM):28,978
Edward Lowassa (Chadema):24,418

Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Mwanga Kura: 41,229
John Pombe Magufuli (CCM): 25,738
Edward Lowassa (Chadema):15,148

Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Mpendae Kura: 8,503
John Pombe Magufuli (CCM): 4,192
Edward Lowassa (Chadema): 4,048

Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Namtumbo Kura: 70,384
John Pombe Magufuli (CCM):44,061
Edward Lowassa (Chadema):23,039

MBOWE ATETEA JIMBO LAKE LA HAI NA CAPT. MKUCHIKA NAYE AMESHINDA NEWALA

Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Hai, Freeman Mbowe ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo



 





Mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Newala Mjini, Capt. George Mkuchika ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.
 

MATOKEO YA URAIS MAJIMBO YA KILINDI, KOROGWE MJINI, ILEJE, MJINI MAGHARIBI, KOHANI, LUPEMBE NA MADABA

 Tume ya Uchaguzi
Matokeo yaUrais Jimbo la Kilindi Kura: 46,830
John Pombe Magufuli (CCM):33,942
Edward Lowassa (Chadema):12,123

 Matokeo ya Urais Jimbo la Korogwe Mjini Kura:26968
John Pombe Magufuli (CCM):17168
Edward Lowassa (Chadema):9034

 Matokeo ya Urais Jimbo la Ileje Kura:43,997
John Pombe Magufuli (CCM):26,368
Edward Lowassa (Chadema):15,651

Matokeo ya Urais Jimbo la Mjini Magharibi Kura:10108
John Pombe Magufuli (CCM):5096
Edward Lowassa (Chadema):4030

Matokeo ya Urais Jimbo la Kohani Kura: 9,328
John Pombe Magufuli (CCM): 6,245
Edward Lowassa (Chadema): 2,689

Matokeo ya Urais Jimbo la Lupembe Kura: 30,994
Joseph Pombe Magufuli (CCM): 23,061
Edward Lowassa (Chadema): 7,466

 Matokeo ya Urais Jimbo la Madaba Kura: 18,818
John Pombe Magufuli (CCM): 13,949
Edward Lowassa (Chadema): 4,735

TUME YATANGAZA MATOKEO UA URAISI MAJIMBO YA CHALINZE, CHONGA NA KIJINI

Tume ya Uchaguzi
 Matokeo ya Urais Jimbo la Chalinze Kura :77,157
John Pombe Magufuli (CCM):52,212
Edward Lowassa (Chadema):21,380

 Matokeo ya Urais Jimbo la Chonga Kura: 5,949
John Pombe Magufuli (CCM): 1,740
Edward Lowassa (Chadema): 3,800

 Matokeo ya Urais Jimbo la Kijini Kura: 6,850
John Pombe Magufuli (CCM):2,703
Edward Lowassa (Chadema):3,351

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR