Saturday, May 18, 2013

IBADA YA MKESHA WA PENTEKOSTE PAROKIANI BOKO SAA TATU KAMILI USIKU MPAKA SAA SITA USIKU

Leo ni sikuku ya Pentekoste. Petekoste maana yake siku hamsini baada ya kufurahia Ufufuko wa Kristo. Katika siku ya hamsini kanisa linafurahia sikuku ya Pentekoste. Ujio wa Roho Mtakatifu uliye ujaza ulimwengu Mapaji yake Maridhawa. 
Mama Kanisa huadhimishwa kwa shangwe fumbo la Kristo mfufuka kwa ujio wa Roho Mtakatifu aliye alama ya umoja wetu na Mungu. Yesu aliwaahidi wafuasi wake msaidizi atakaye endelea kuwaongoza katika ufuasi wao kama taifa jipya la Mungu. Ni siku tunayoalikwa kutafakari maagano yetu na Mungu>>>>>>>>>>

IBADA YA MKESHA WA PENTEKOSTE ITAFANYIKA PAROKIANI BOKO LEO SAA TATU KAMILI USIKU MPAKA SAA SITA USIKU TUNAWAKARIBISHA WOTE............

No comments:

Post a Comment

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR