JUMAPILI TAREHE 16/06/2013
RATIBA ZA IBADA
KIGANGO CHA MH. ISIDORI BAKANJA- BOKO.
MISA YA KWANZA 12:30-2:00 ASUBUHI
MISA YA PILI SAA 2:00-4:00 ASUBUHI
MISA YA TATU SAA 4:00-5:30 ASUBUHI
KIGANGO CHA MT. FRANCIS WA ASIZ-MBWENI
MISA YA KWANZA SAA 1:10-3:00 ASUBUHI
MISA YA PILI SAA 3:00-4:30 ASUBUHI
KIGANGO CHA MT. RAFAEL-MBWENI MALINDI
SAA 1:00-3:00 ASUBUHI.
MISA YA PILI SAA 3:00-5:00
KIGANGO CHA ANTHONY WA PADUA-MBWENI TETA
MISA NI SAA 3:00-5:00.
MISA YA PILI SAA 3:00-5:00
KIGANGO CHA ANTHONY WA PADUA-MBWENI TETA
MISA NI SAA 3:00-5:00.
MIKUTANO
kutakuwa na kikao cha halmashauri ya Walei Parokia ya Boko kuanzia saa 4:00 asubuhi, wajumbe wa kikao hichi ni viongozi wote wa vigango, Mwenyeviti wote wa vyama vya kitume na Kamati tendaji.
MATANGAZO
- Vijana wote mnaoenda Mbulu mnatakiwa kukutana Parokiani boko saa 4:00 asubuhi ukumbi wa chekechea.
- Waamini wote unakaribishwa kwenye uzinduzi wa Paroko cup kesho saa nane mchana Parokiani Boko
- tunatarajia kufanya sherehe ya kuwapongeza mashemasi wetu Paul, Victor na Pascal kwa kupata daraja la upadre sherehe hizo zitafanyika parokiani bunju tarehe 08/07/2013 kila mshiriki anatakiwa kuchangia Tshs 5000 kwa ajili ya chakula na vinywaji.
- Maandalizi ya Tamasha la Vijana kwa mwaka 2013 yameanza na kila kijana anatakiwa kulipa tshs 7000 mwisho wa kuwakilisha mchango ni tarehe 02/08/2013 unawaza kufanya malipo kwa njia ya benk kwa jina na number hii :viwawa parokia ya boko account no 01524526820100 crdb bank tegeta branch
- tunawakumbusha vijana wote kuendelea kulipa ada kwa maendeleo ya chama chetu..... mapendo sana
No comments:
Post a Comment