Msalaba wa Yesu ni msalaba ule ambao Yesu Kristo alisulubiwa juu yake huko Yerusalemu kwa mamlaka ya Ponsio Pilato labda tarehe 7 Aprili 30 BK.
Adhabu hiyo kali ilianza huko Uajemi na kuenea hadi Dola la Roma ambalo liliitumia hasa katika maeneo ya pembeni.
Tukio
hilo, pamoja na ufufuko wa Yesu unaosadikiwa na Ukristo kutokea siku ya
tatu (Jumapili ya Pasaka), ndio kiini cha imani ya dini hiyo mpya
iliyotokana na ile ya Uyahudi.
Kwa Wakristo fumbo hilo la Pasaka ndilo kilele cha historia ya wokovu inayotangazwa na Biblia ya Kikristo.
Fumbo hilo lilisababisha kazi nyingi za sanaa, hasa uchoraji.
Na
tunatakiwa kuyafananisha mahangaiko ya maisha yetu kama msalaba wa Yesu
tukiwa na imani kuwa mwisho tutaufikisha na tutafariki na kurudi kwa
Mungu Baba hapo tutapata raha ya milele pamoja na Watakatifu wote.
Friday, June 21, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Mkoa wa Njombe ni moja kati ya mikoa Tanzania, ukiwa umeanzishwa rasmi mwaka 2012. Umepakana na mikoa ya jirani ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya...
-
Mwandishi wa kitabu cha Kumbukumbu la Torati ambamo tunapata somo la kwanza anatualika kutambua kuwa Mungu haachi kutimiza ahadi yake ya ...
-
Isidore Bakanja, ambaye alitoa maisha yake kwa ajili ya imani ya Kikristo, Akiongozwa na maisha rahisi kama layman Katoliki wakati wa mauaj...
No comments:
Post a Comment