Thursday, March 24, 2016

Mh. Paul Makonda aenda kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Kuombewa

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimuombea dua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda alipomtembelea kiongozi huyo wa dini leo. Makonda ameanza ziara ya kuwatembelea viongozi wa dini na wastaafu jijini ili kupata ushauri mbalimbali

No comments:

Post a Comment

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR