Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA UMBUNGE MAJIMBO YA MLIMBA, KILOMBERO NA MBARALI

Peter Lijuakali (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Kilombero
Haroon Mullah Primohamed (CCM) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Mbarali.
Suzan Limbweni Kiwanga (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Mlimba.

MWAKYEMBE AMERUDI MJENGONI

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kyela kupitia CCM Mwakyembe Harrison George ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo kwa kipindi cha 2015-2020

JERRY SLAA APOTEZA JIMBO LA UKONGA

Majira ya SAA kumi na nusu alfajiri. Waitara Mwita was CHADEMA ametangazwa kunyakua kiti cha Ubunge Ukonga, kwa kumbwaga Jerry Slaa wa CCM ambaye alikuwa mpinzani wake mkubwa

MATOKEO YA URAIS KUTOKA TUME YA UCHAGUZI

1O. Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Mbinga Mjini Kura: 42,717
John Pombe Magufuli (CCM): 29,295
Edward Lowassa (Chadema):11,695

11. Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Nanyamba Kura: 44,437
John Pombe Magufuli (CCM): 24,904
Edward Lowassa (Chadema): 16,992

12.Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Moshi Mjini Kura:79,814
John Pombe Magufuli (CCM): 28,909
Edward Lowassa (Chadema): 49,379

13.  Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Mkinga Kura: 39,788
John Pombe Magufuli (CCM): 23,798
Edward Lowassa (Chadema): 15,142

14.  Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Peramiho Kura:45,374
John Pombe Magufuli (CCM): 32,505
Edward Lowassa (Chadema): 11,291

15. Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Njombe Mjini Kura: 55,772
John Pombe Magufuli (CCM): 33,626
Edward Lowassa (Chadema):20,368
16. Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Singida Mjini Kura: 56,558
John Pombe Magufuli (CCM): 36,035
Edward Lowassa (Chadema): 19,007
17. Jaji Lubuva Matokeo ya Urais Jimbo la Lindi Mjini Kura: 38,992 
John Pombe Magufuli (CCM): 21,088
Edward Lowassa (Chadema): 17,607

TARIME MJINI WAWEKA HISTORIA MPYA

Mgombea Ubunge wa CHADEMA/UKAWA Jimbo la Tarime Mjini Ester Matiko ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo

SUGU JOSEPH MBILINYI AMERUDI TENA MJENGONI

Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyekuwa mbunge jimbo la Mbeya mjini amefanikiwa kutetea jimbo lake kwa kupata kura zaidi ya elfu 67

ZITTO KABWE AMERUDI MJENGONI

Mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametangazwa rasmi mshindi wa jimbo hilo
 

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR