Tuesday, October 27, 2015

MATOKEO YA JIMBO LA MIKUMI PROF JAY KATOBOA UBUNGO KUBENEA KASHINDA KESSI ALLY KATETEA NKASI

 
Mgombea Ubunge Jimbo la Mikumi (CHADEMA), Joseph Haule (Prof Jay), ameshinda Ubunge kwa jumla ya kura 32259 na kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa Jimbo hilo





 
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ubungo kupitia tiketi ya Chadema, Saed Kubenea ametangazwa rasmi mshindi katika jimbo hilo na kumshinda Dr.Didas Masaburi wa CCM 
'




 

  

Mgombea Ubunge wa Nkasi Kaskazini (Rukwa), Ali Mohamed Kessy (CCM) amefanikiwa kutetea Ubunge wake





 
 Mgombea Ubunge jimbo la Mtera kwa tiketi ya CCM, Lusinde Livingstone Joseph alimaarufu kama Kibajaji ametagazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hilo na kutetea kiti chake

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS MAJIMBO YA MONDULI, MOMBO, MWANGA, MPENDAE NA NAMTUMBO

 Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Monduli Kura:61,296
John Pombe Magufuli (CCM): 11,355
Edward Lowassa (Chadema): 49,675

 Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Momba Kura: 55,338
John Pombe Magufuli (CCM):28,978
Edward Lowassa (Chadema):24,418

Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Mwanga Kura: 41,229
John Pombe Magufuli (CCM): 25,738
Edward Lowassa (Chadema):15,148

Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Mpendae Kura: 8,503
John Pombe Magufuli (CCM): 4,192
Edward Lowassa (Chadema): 4,048

Tume ya Uchaguzi Matokeo ya Urais Jimbo la Namtumbo Kura: 70,384
John Pombe Magufuli (CCM):44,061
Edward Lowassa (Chadema):23,039

MBOWE ATETEA JIMBO LAKE LA HAI NA CAPT. MKUCHIKA NAYE AMESHINDA NEWALA

Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Hai, Freeman Mbowe ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo



 





Mgombea Ubunge wa CCM jimbo la Newala Mjini, Capt. George Mkuchika ametangazwa kuwa mshindi wa jimbo hilo.
 

MATOKEO YA URAIS MAJIMBO YA KILINDI, KOROGWE MJINI, ILEJE, MJINI MAGHARIBI, KOHANI, LUPEMBE NA MADABA

 Tume ya Uchaguzi
Matokeo yaUrais Jimbo la Kilindi Kura: 46,830
John Pombe Magufuli (CCM):33,942
Edward Lowassa (Chadema):12,123

 Matokeo ya Urais Jimbo la Korogwe Mjini Kura:26968
John Pombe Magufuli (CCM):17168
Edward Lowassa (Chadema):9034

 Matokeo ya Urais Jimbo la Ileje Kura:43,997
John Pombe Magufuli (CCM):26,368
Edward Lowassa (Chadema):15,651

Matokeo ya Urais Jimbo la Mjini Magharibi Kura:10108
John Pombe Magufuli (CCM):5096
Edward Lowassa (Chadema):4030

Matokeo ya Urais Jimbo la Kohani Kura: 9,328
John Pombe Magufuli (CCM): 6,245
Edward Lowassa (Chadema): 2,689

Matokeo ya Urais Jimbo la Lupembe Kura: 30,994
Joseph Pombe Magufuli (CCM): 23,061
Edward Lowassa (Chadema): 7,466

 Matokeo ya Urais Jimbo la Madaba Kura: 18,818
John Pombe Magufuli (CCM): 13,949
Edward Lowassa (Chadema): 4,735

TUME YATANGAZA MATOKEO UA URAISI MAJIMBO YA CHALINZE, CHONGA NA KIJINI

Tume ya Uchaguzi
 Matokeo ya Urais Jimbo la Chalinze Kura :77,157
John Pombe Magufuli (CCM):52,212
Edward Lowassa (Chadema):21,380

 Matokeo ya Urais Jimbo la Chonga Kura: 5,949
John Pombe Magufuli (CCM): 1,740
Edward Lowassa (Chadema): 3,800

 Matokeo ya Urais Jimbo la Kijini Kura: 6,850
John Pombe Magufuli (CCM):2,703
Edward Lowassa (Chadema):3,351

MATOKEO YA UMBUNGE MAJIMBO YA MLIMBA, KILOMBERO NA MBARALI

Peter Lijuakali (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Kilombero
Haroon Mullah Primohamed (CCM) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Mbarali.
Suzan Limbweni Kiwanga (Chadema) ametangazwa kuwa Mbunge Mteule wa jimbo la Mlimba.

MWAKYEMBE AMERUDI MJENGONI

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kyela kupitia CCM Mwakyembe Harrison George ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo kwa kipindi cha 2015-2020

NCHI YANGU FAHARI YANGU TOUR